Welcome to Yammy Yami TZ/YAMMY YAMI PRODUCTS.

Hii ni faraja na mkombozi kwa Watanzania wote kwa kuwaletea bidhaa zenye ubora na kiwango cha kimataifa.Kiwango ambacho ni thabiti na stahili kwa watoto na familia yako kwa ujumla.
Yammy yami Products inajali na inathamini matarajio na malengo ya watumiaji wote sehem mbali mbali za Tanzania ikiwemo Zanzibar,Tanga,Arusha,Mwanza,Dar Es Salaam na sehem nyengine mbali mbali mjini na vijini.
Kwa bidhaa za Baby Diapers,Baby pull up pants,lady pads,baby wipes,toilet paper,washing pawder and Adults Diapers yammy yami ndio suluhisho la mahitaji yako na tunaahidi kuwapatia bidhaa bora kwa bei rafiki inayolingana na kipato cha watanzania wengi na huduma ilio bora kwa wateja wote.
Yammy Yami Love Your Baby
Yammy Yami love your family.