MC KIBO EVENTS. Kwa sherehe yoyote na matukio mbalimbali ya sherehe Kama vile harusi, send-off, kitchen party, MAHAFALI, birthday, Midahalo na kila Aina ya tukio. Mtafute MC KIBO akushereheshee tukio lako kwa burudani na sherehe bora akutengenezee pesa kadri unavyotaka kutoka kwa wageni waalikwa.

MC KIBO pia Ni mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki, mwalimu wa kwaya, mtiribu,Valantia wa Radio Maria na mwandishi wa vitabu.

Kwa mawasiliano piga no. 0759027017 au contact him through email: [email protected]