MAJAKH ONLINE TV ni channel ya kiislamu yenye lengo la kutoa elimu na ukumbusho kupitia mitandao ya kijamii juu ya itikadi sahihi ya Ahlu Sunnat Waljamaa na muongozo wa mtume wetu Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallam pamoja na wanazuoni wake akiwemo Shekh wetu marhum Shekh Fadhil bin Juma bin Aliy ambae amekua mstari wa mbele kuinadi itikadi sahihi ya Ahlu Sunnat Waljamaa wa kweli.
Mahad Jamaatil Khayr ipo Mombasa Zanzibar.
0773771340/0776475764/0672714101.