👉Dimmo Tv Online.Hii Ni Chanel Inayo Jihusisha Na Maudhui Ya Darasa Mbali Mbali Za Tiba Asili.Utabiri Wa Nyota Na Utatuzi Wa Tiba Dhidi Ya Maradhi Ya Uchawi Na Majini.
👉Kupitia Chanel Yetu Hii Pia Utapata Kujifunza Mbinu Mbadala zitakazo Kuwezesha Kupata Mafanikio Ya Maisha Na Kuinuka Kiuchumi.
👉Halika Dhalika Utajifunza Nyiradi Mbali Mbali, Dhikri, Visomo Vya Dua, Sambamba Na Ibada Za Kufungua Mambo Mazito Ili Yawe Mepesi.
👉Chanel Ya Dimmo Tv, Inatoa Ushauri na Mbinu Madhubuti Ya Kuboresha Mahusiano Ya Ndoa, Au Ya Ujamaa Yenye Kuonesha Twasira Nzuri, Katika Kufurahia Ukaribu Wa Mtu Na Mtu Au Kati Ya Watu Na Watu Walio Pamoja Kimahusiano.
👉Pia Katika Chanel Hii Utajifunza Elimu Ihusio Maswala Ya Urembo Na Vipodozi Vya Mimea Ya Asili.
👉Hivyo Ukiwa Kama Mdau. Chanel Hii Ipo Kwa Ajili Yako Juu Ya Swala Lolote Kati Ya Hayo Tulio Yaorodhesha Hapa.
Usisahu Ku Subscribe, Ku Comment, Ku Like Na Ku Share Video Zetu.
☎️MAWASILIANO
+255 714 927098
+255 754 852596
MALIM SADICK KOMBO