Kwaya ya Familia Takatifu ilianzishwa mwaka 1992 enzi hizo ikitambulika kama Kwaya ya Vijana. Tuliendelea na utume wa uimbaji mpaka hapo Baadae ilivyokuja kubadilishwa jina na kuitwa Kwaya ya Familia Takatifu (Yesu Maria na Yosefu). Kwaya hii inapatikana katika Kanisa kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo kuu la Dar es Salaam na Inahudumu katika Misa ya kwanza (I) inayoanza saa moja kamilia asubuhi (07:00am) Kila Jumapili.

Katika Chanel hii ya Youtube ya Kwaya ya Familia Takatifu utaweza kujionea nyimbo mbalimbali za kwaya hii , Matamasha mbalimbali, Ibada za Misa na matukio mengine.

Tunategemea sana support yako wewe mtazamaji ili kuweza kuifikisha mahala pazuri kwaya hii kwa kuangalia zaidi nyimbo hizi na ku subscribe.