Channel Maalumu kwa ajili ya Kupata maarifa kutoka katika nyanja mbali mbali za maisha lengo likiwa ni kutunza kumbukumbu, Kuongeza uelewa wa mambo na kuwafanya watu wafahamu ulimwengo unao wazunguka kwa mapana na Marefu yake.

Channel ina Makala za kila aina, Kuanzia Makala za ujasusi, Makala Za kihistoria, Makala zinazo zungumzia Imani, Makala zinazo zungumzia Elimu, Maisha, Viumbe Hai na ulimwengu kwa ujumla wake.

Endapo Kuna Taarifa au Makala ambayo kwa namna moja au nyingine imetumika na Wewe ni mmiliki wa Video au Sauti au Picha katika Makala Husika, Usisite kuwasiliana nasi ili kuweza Kulimaliza hilo kwa wakati na namna inayo faa.

Tafadhari, jisikie huru Ku-Comment, Ku-Like , Ku-Share na Ku-Subscribe.

Kwa Mawasiliano:

Email: [email protected]